PICHA YA LEO: Kikwete pembeni ya Obama, Obama mwenyewe kaharibu picha
Naona mheshimiwa wetu pembeni ya Obama, kapendeza lakini, sema na yeye macho yake kama hayaangalii mbele vilee? halafu huyu Obama sasa huo mkono alikua anapeleka wapi hadi kumziba mwenzake sura lakini?