Pages

JERRY MURO AACHIWA HURU





Mtangazaji wa TBC Jerry Muro na Wenzake wawili wamefutiwa kesi ya kudai rushwa ya shilingi milioni 10 iliyokuwa inawakabili na hakimu wa mahakama ya hakimu mkazi ya kisutu. 

Welcome back Jerry