MODERN SOFAS FOR SALE
Sofa hizi za kisasa zinauzwa. Ni za brown na zina kitambaa kizuri sana na imara. Seat zake ni za Golden black and brown flowery.
Zipo tatu, moja la watu watatu, moja la watu wawili na moja la mtu mmoja na Sofa stool (seat sita kwa ujumla). Yanaenda kwa Tshs. 1.500,000/= bila majadaliano
mawasiliano piga : +255 713 076878
+255 765 222111
PLOT FOR SALE
Eneo linauzwa, lipoMbezi Mpiji kilomita sita kutoka barabara ya morogoro.
Size:
Lina ukubwa wa miguu 20X20 na lipo katika planned street. Barabara za mtaa zote zimepimwa. Ni eneo tulivu na lenye usalama.
Price:
Tshs 5,500,000/= (milioni tano na laki tano za kitanzania)
Directions:
Kutokea ubungo unaenda hadi Mbezi mwisho mkono wa kulia kuna barabara ya vumbi, ina kibao kimeandikwa mpiji magohe na kibao cha Mbezi secondary school. Unachukua hiyo barabara moja kwa moja uningia kilomita sita ndani then kuna centre ya maduka maduka mknono wa kulia kuna duka limeandikwa "Mkuu wa kituo" ukifika hapo piga simu utafuatwa
Contacts:
Simu namba +255 718 303375
IDARA YA UHAMIAJI INACHANGIA WAFANYAKAZI WATANZANIA KUNYONYWA
Hili ni wazo langu tete,
Katika miaka ya karibuni kumekua na wimbi kubwa la kuongezeka kwa raia wa kigeni wanaofanya kazi hapa nchini. Nia na madhuni makubwa ya serikali kuruhusu wageni hawa kupewa vibali vya kufanya kazi hapa nchni ilikua ni kuona kwamba ujuzi wao waliokuja nao unafundishwa kwa watanzania ambao hatimae watakua na uwezo wa kufanya kazi hizo zinazofanywa na wageni hao.
Wageni waliokua wanatakiwa kupewa vibali ni watu ambao wana ujuzi wa hali ya juu amabao baadae utakua na faida kwa nchi yetu, na pia nina amini kwamba wageni hawa walikua wana limit ya muda wanaoruhusiwa kukaa nchini, muda ambao utakua umetosha kufundisha watanzania ujuzi ule na kisha kwenda zao kwao.
Sasa basi, sababu zinazonifanya mimi niseme kwamba idara ya uhamiaji inachangia sisi watanzania kunyonywa ni hizi;-
1. Wageni wanaoingia siku hizi wengi wao hawana ujuzi wowote wa ajabu , wengi wao wanaingia na qualifications ambazo watanzania wa kawaida wanazo, tena wengi sana na wapo mtaani hawana kazi. Na wageni hawa wanapofika makazini hupewa huduma zote bure zikiwemo afya, makazi, usafiri, na hadi ada za watoto, zaidi ya hayo wageni hawa wanalipwa kwa dola za kimarekani na mishahara yao yote huanzia dola $1000 hadi $10,000.
Kwanini idara ya uhamiaji iruhusu kampuni iingize accountant kutoka nje? ilhali kuna graduates hadi wa masters wa mambo hayo hayo ya uhasibu na wako mtaani hawana kazi?
2. Mishahara wanayolipwa watanzania tena wenye qualifications zinazowazidi hawa wageni inatia huruma, yani unakuta mtanzania mwenye expirience kabisa na elimu yake ya kutosha mshahara wake haufiki Tsh. 900,000/= . na mshahara huu unakuja mkavu bila beneft ya aina yeyote nyingine. Hii ni haki kweli?
3. Na la mwisho na kubwa zaidi ni kwamba wageni hawa HAWAONDOKI! yani kuna wageni ambao permits zao zinakua - renewed kila zinapoisha kwa karibia miaka ishirini sasa. hivi sisi hatujifunzi tu kutoka kwao? yani miaka kumi, ishirini kweli hakuna mtanzania hata mmoja ambae anakua ameweza kumaster kazi hizo zinazofanywa na hawa expatriates? mbaya zaidi ni kwamba watu hawa matumizi yao yote makubwa huenda kuyafanya makwao wanapoenda likizo, hivyo basi watanzania hakuna hata moja tunalofaidika nalo kwa kuwalipa mishahara hii mikubwa.
Hapo bado hatujazungumzia jinsi wanavyowatreat watanzania wanaofanya kazi kwenye taasisi ama viwanda vyao, hii sio haki hata kidogo na jambo hili linatakwa liangaliwe mara moja na kushughulikiwa.
Taasisi zenye huu mtindo wa kuajiri hadi wapaka rangi kutoka nje ni pamoja na mashirika yote yasiyo ya kiserekali (NGOs) tena haswa zile za kimataifa mi mi staki kutajana majina. Makampuni yote yanayomilikiwa na watu wenye asili ya kiasia (India na China) ndiyo yanaongoza kw kuajiri watu kutoka nje. Tena nje ya idadi inayoruhusiwa kisheria.
Maswali yangu mimi ni je inakuaje mtu anakaa nchini kwetu kwa miaka kumi na zaidi?
Kwanini hamna bodi inayoangalia mishahara ya wafanyakazi wote tu kwa ujumla kuhakikisha kwamba watu wenye ujuzi na ufanisi sawa wanalipwa mishahara sawa bila kuangalia utaifa wao?
Na je inakuaje makampuni yanazidisha idadi ya wageni iliyowekwa na serikali?
Na mwisho kabisa inakuaje mtu ambae hana ujuzi wowote wa ajabu ambao nchini kwetu haupo anapata kibali cha kufanya kazi nchini?
Swali la mwisho la muhimu kabisa ni kwamba Je mapato yao haya yote yanalipiwa kodi????????? wahusika tafadhalini hebu pitieni hizi ofisi na mashirika mjionee mambo. wachache wanakula na wanafaidi lakini athari wanayowaletea watanzania haielezeki.
Hii ni kwa niaba ya watanzania wote wenye ujuzi ambao mpo mtaani kwa kukosa kazi.
UHURU KENYATTA AJIUZULU KENYA.
- Waziri wa fedha wa Kenya Bw. Uhuru Kenyatta amejiuzulu leo siku chache baada ya jina lake kuonekana katika watuhumiwa wa uchochezi wa fujo za uchaguzi wa mwaka 2007 iliyotolewa na mahakama ya kimataifaa ya makosa ya jinai (ICC) hivi karibuni.
Kujiuzulu huko kwa Kenyatta kumeenda sambamba na kiongozi mwingine wa umma bw. Francis Muthaura.
Hata hivyo katika kuonesha kuwa huo sio mwisho wa harakati zake katika siasa Kenyatta amehusishwa nu kugombea urais mwaka 2013 safari hii akiungana na aliyekuwa adui yake katika fujo na uchaguzi wa mwaka 2007 ndugu William Ruto ambaye pia ni mtuhumiwa wa ICC katika fujo hizo za uchaguzi wa mwaka 2007. Kenyatta na Ruto wanadaiwa kuchochea makundi ya vijana kutoka katika itikadi, makbila na sehemu tofauti kupigana na kuuana punde baada ya uchaguzi mkuu wa Kenya mnamo mwaka 2007 kumalizika.
Kenyatta mwenye miaka 50 mtoto wa Jomo Kenyatta baba wa taifa la Kenya na tajiri zaidi Nchini Kenya alikuwa akipata shinikizo la kujiuzulu kutoka kwa wabunge wenzake kufuatia kupatikana na kesi ya kujibu na mahakama ya kimataifa ya makosa ya Jinai.
Ni desturi nchini Kenya kwa mawaziri wanaotuhumiwa kwa rushwa na matumizi mabaya ya ofisi za umma kujiuzulu ingawa Mwanasheria mkuu wa Kenya Kenyatta and Muthaura wangeweza kuendelea na nafasi zao mpaka hapo rufaa walizokata kwa mahakama hiyo ya kimataifa kukataliwa suala ambalo huchukua hadi mwaka mmoja.
MZAHA WA VAZI LA TAIFA KUTOKANA NA BENDERA YA TAIFA?
Ni jambo lisilopingika kua kila nchi ina bendera yake, bendera ambayo huwakilisha nchi hiyo katika masula mbalimbali ya kimataifa. kuna symbols nyingi sana ambazo huwakilisha nchi husika, kama nchi. Lakini pia kuna yale mambo ambayo huwakilisha tamaduni na desturi za watu wanaoishi katika hizo nchi.
Ni uelewa wangu kwamba mchakato wa kutafuta vazi la taifa umeanza rasmi, kwa mara nyingine tena. Vazi hili litakua mahsusi kwaajili ya kutambulisha utamaduni wa mtanzania popote pale duniani. Kamati/Tume iliyoundwa kutengeneza vazi hili imeamua "Kutumia rangi za bendera ya taifa" katika mchakato mzima wa kutengeneza vazi hili.
Kwa mtazamo wangu huu ni utani usiochekesha. Imagine vazi lenye rangi za njano, kijani,blue na nyeusi??? maswali ya kujiuliza ni kwamba ni nchi ngapi ambazo zinatumia rangi zinazoendana na na za bendera yetu? Na je ni nchi ngapi za kiafrika tunazozijua ambazo kiukweli zina mavazi ya taifa yaliyotokana na bendera ya nchi zao? na je ujumbe ambao vazi la taifa linatakiwa kufikisha utafika kwa kutumia rangi za bendera ya taifa? na mwisho kabisa swali la muhimu ni kwamba msafara wa kitaifa ambao umepembwa na bendera za taifa zinazopepea na zingine zilizovaliwa utaonekanaje?
Suala lilijitokeza hapa ni watu kukosa ubunifu. Samahani kwa nitakaowakwaza lakini mtazamo wangu ni kwamba nchi hii ina makabila mengi sana yenye tamaduni nzuri sana ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza kuchangia katika uppatikanaji wa vazi la taifa, zaidi ya hayo nchi ina rasilimali nyingi sana amabazo kitambaa cha vazi la taifa kinaweza kutumika kufikisha ujumbe huo kwa jamii za kimataifa, kuliko kutumia bendera ambayo tayari inajulikana.
Kuazia utamaduni wa shanga za wazaramo, kaniki za wamakonde , rubega za wamasai, shanga za miguu za waha na na makabila mengine yoote yenye mavazi ya asili, tumeshindwa kweli kujumuisha tamaduni hizi na kupata tamaduni moja itakayotuunganisha watanzania wote hadi tunaamua kutumia rangi za bendera? Mzaha huu, sijauelewa kabisa
Huu ni mtazamo wangu waungwana, msijenge chuki
ALEK WEK
Height 5 ft 11 in (1.80 m)
Hair color Dark Brown
Eye color Brown
Measurements 34-23-34.5 (US) 86.5-58-88
Dress size 4 (US)
Agency Storm Models, London
Alek Wek (born 16 April 1977) is a South Sudanese British model who first appeared on the catwalks at the age of 18 in 1995, sparking a career lasting to date. She is from the Dinka ethnic group in South Sudan,but in 1991 she and some family members fled to Britain to escape the civil war in Sudan. She later moved to the United States.
She was born the seventh of nine children in Wau in Sudan (now South Sudan) in 1977. When she was preparing to emigrate from Sudan, her mother picked the date April 16, which occurs in the rainy season during which she was born. She says her name means "Black Spotted Cow". Wek was born to her mother a housewife, and her father Athian Wek (1933-1985), an education official. Alek Wek has stated that physically, she resembles her father, who also had unusually long limbs. Athian Wek had once broken his hip in a bicycle accident; his hip was repaired with metal pins. When the civil war broke out in Wau in 1985, the Wek family had to flee from both rebel and government forces. Long periods of walking caused Athian Wek's hip to get infected, and upon the family's return to Wau, he became paralyzed and endured a hemorrhage. He died in the hospital of Khartoum.
She is a member of the U.S. Committee for Refugees' Advisory Council and is helping to raise awareness about the situation in Sudan, as well as the plight of refugees worldwide. She can base this on her own experience as a refugee, fleeing the war in her country of birth.She is a missionary for World Vision, an organisation which combats AIDS, an ambassador for Doctors Without Borders in Sudan, and devotes time to. In 2007, she released an autobiography, entitled Alek: From Sudanese Refugee to International Supermodel, documenting her journey from a childhood of poverty in Sudan to the catwalks of Europe
Nominees in main Oscars categories
Best picture: "War Horse," "The Artist," "Money Ball," "The Descendants," "The Tree of Life," "Midnight in Paris," "The Help," "Hugo," "Extremely Loud and Incredibly Close."
- Best director: Michael Hazanavicius for "The Artist,"
Alexander Payne for "The Descendants,"
Terrence Malick for "The Tree of Life,"
Woody Allen for "Midnight in Paris,"
Martin Scorsese for "Hugo."
- Best leading actor: Demian Bichir in "A Better Life,"
George Clooney in "The Descendants,"
Jean Dujardin in "The Artist,"
Gary Oldman in "Tinker Tailor Soldier Spy,"
Brad Pitt in "Moneyball"
- Best leading actress: Glenn Close in "Albert Nobbs,"
Viola Davis in "The Help,"
Rooney Mara in "The Girl with the Dragon Tattoo,"
Meryl Streep in "The Iron Lady,"
Michelle Williams in "My Week with Marilyn."
- Best supporting actor: Kenneth Branagh in "My Week with Marilyn," Jonah Hillin "Moneyball,"
Nick Nolte in "Warrior,"
Christopher Plummer in "Beginners,"
Max von Sydow in "Extremely Loud & Incredibly Close."
- Best supporting actress: Bérénice Bejo in "The Artist,"
Jessica Chastain in "The Help,"
Melissa McCarthy in "Bridesmaids,"
Janet McTeer in "Albert Nobbs,"
Octavia Spencer in "The Help."
- Best foreign language film: "Bullhead" (Belgium), "Footnote" (Israel), "In Darkness" (Poland), "Monsieur Lazhar" (Canada), "A Separation" (Iran).
- Best animated feature: "A Cat in Paris," "Chico & Rita," "Kung Fu Panda 2," "Puss in Boots," "Rango."
source: http://ladyjaydee.blogspot.com/
Kim Kardashian
Labels:
2011,
2012,
Beautiful,
High Heels,
hot,
Hot Celebs,
kim,
kim kardashian,
Kim Red,
Legs,
Long Heels,
New York,
Red Color,
Red Maxi,
Smiling,
Tight Dress,
Tight Red Maxi,
wallpaper
Kim Kardashian
Labels:
2011,
2012,
Beautiful,
High Heels,
hot,
Hot Celebs,
kim,
kim kardashian,
Kim Red,
Legs,
Long Heels,
New York,
Red Color,
Red Maxi,
Smiling,
Tight Dress,
Tight Red Maxi,
wallpaper
Subscribe to:
Posts (Atom)