Pages

Poverty in Tanzania


Wakati viongozi wa vyama vya siasa wanakaza kubishana na kung'ang'ania kuongezwa posho za vikao vya bunge, hali ya wananchi waliowachagua iko hivi:

Taswira za Shule kata ya Rwinga wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wanasomea kwenye madarasa yaliojengwa kwa miti

Wanafunzi wa shule ya msingi Mkapa wilayani Namtumbo wakiwa darasani na mwalimu wao


Wanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Selous wilayani Namtumbo wakiwa darasani

PICHA NA fikrapevu