Get Paid To Promote, Get Paid To Popup, Get Paid Display Banner

MAZISHI YA KANUMBA: KUTOKA LEADERS LIVE

Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu limewasili.Watu wanalia kwa uchungu sana.Wengi wanagombania kuligusa

Kwa mbele

 Umati wa watu uwanjani hapo

 Msalaba Mwekundu wakiwa stand by na pia msaada unahitajika

Watu wameisha anza kuzima na msalaba mwekundu umeanza kazi yao
source; http://www.jestina-george.com/