Get Paid To Promote, Get Paid To Popup, Get Paid Display Banner

REST IN PEACE HALIMA MCHUKA AND JOHN NGAHYOMA


Marehemu HALIMA MCHUKA - Mwanamke wa kwanza Tanzania kutangaza Mpira mpira wa miguu live
Marehemu JOHN NGAHYOMA - Miongoni mwa Watanzania wachache wa mwanzoni kujua kutangaza habari katika television kwa ufanisi mkubwa.
Poleni sana jumuiya nzima ya waandishi wa habari, najua kwa namna moja au nyingine kila mmoja wenu amegiswa na misiba hii ya watangazaji wenzenu. Poleni Watanzania, Watangazaji hawa mahiri wametutoka duniani mwishoni kabisa mwa mwaka 2011, sisi tuliwapenda lakini Mungu aliwapenda zaidi, Mungu azilaze roho za marehema mahali pema, Amen