Get Paid To Promote, Get Paid To Popup, Get Paid Display Banner

BREAKING NEWS: MR. EBBO "MMASAI" AFARIKI DUNIA

 


Habari za kuaminika kutoka A-Town zimethibitisha lua Mr. Ebbo amefariki dunia mapema leo ijumaa. Mr. Ebb ambae alipata umaarufu mkubwa kutokana na kibao chake cha Mmasai alikua akisumbuliwa na homa ya muda mrefu ambayo alijaribu kutibiwa hospitali mbali mbali ndani na nje ya nchi bila mafanikio. 

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina